HUJAMBO

"KARIBU UJIUNGE NASI KUPATA TAARIFA MBALIMBALI ZA MICHEZO YA VYUO VIKUU KILA SIKU KUTOKA HAPA NCHINI TANZANIA HIZI NI HABARI ZA MICHEZO AMBAZO ZIMEVIHUSU VYUO VYA HAPA NCHINI IKIWA NI PAMOJA NA USHIRIKI WA VYUO KATIKA MATAMASHA MBALIMBALI KITAIFA NA KIMATAIFA MABONANZA NA MASHINDANO MAKUBWA YA KIMATAIFA YANAYO HUSU VYUO VIKUU, KUMBUKA MICHEZO HUANZIA MASHULENI NA KATIKA VYUO MUENDELEZO NDIKO UNAKOPATIKANA KARIBU SANA"

Thursday, September 22, 2011

MASHINDANO YA DUNIA YA KUOGELEA

Nahodha wa timu ya Tanzania akinyoosha bendera maalum ya mashindano kabla ya kuanza mashindano ya kuogelea mbele washiriki wengine wa mashindano ya dunia yaliyofanyika katika jiji la Dubai(Falme za kiarabu) mwaka 2010.

No comments:

Post a Comment