HUJAMBO

"KARIBU UJIUNGE NASI KUPATA TAARIFA MBALIMBALI ZA MICHEZO YA VYUO VIKUU KILA SIKU KUTOKA HAPA NCHINI TANZANIA HIZI NI HABARI ZA MICHEZO AMBAZO ZIMEVIHUSU VYUO VYA HAPA NCHINI IKIWA NI PAMOJA NA USHIRIKI WA VYUO KATIKA MATAMASHA MBALIMBALI KITAIFA NA KIMATAIFA MABONANZA NA MASHINDANO MAKUBWA YA KIMATAIFA YANAYO HUSU VYUO VIKUU, KUMBUKA MICHEZO HUANZIA MASHULENI NA KATIKA VYUO MUENDELEZO NDIKO UNAKOPATIKANA KARIBU SANA"

Wednesday, September 21, 2011

TUNAYO FURAHA KUBWA KUKUKARIBISHA KUANZIA LEO TAREHE 21/09/2011 KUSOMA HABARI MBALIMBALI ZINAZO HUSU HABARI ZA MICHEZO NA BURUDANI KUTOKA VYUO VIKUU HAPA NCHINI TANZANIA.TUNAJUA ULIKUWA NA HAMU KUBWA YA KUPATA TAARIFA ZA MICHEZO TOKA VYUO VIKUU VYA TANZANIA SASA NI WAKATI WAKO WA KULAMBA ASALI KUPITIA BLOG HII KARIBU.

No comments:

Post a Comment