Dear Friends.
Mkutano Mkuu wa Uchaguzi wa Shirikisho la vyama vya Michezo la Vyuo Vikuu vya Afrika(EAUSF) Mashariki limefanya Uchaguzi Mkuu. Pamoja na Mambo mengine limepata viongozi wapya ambao ni
1. Rais ni Ndugu Cyriacko Kabagamba wa Chuo Kuu cha Makerere - Uganda
2. Makamu wa Rais ni Noel Kiunsi wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam - Tanzania
3. Katibu Mkuu - Simon Munayi toka Chuo Kikuu cha Nairobi - Kenya
4. Katibu Mkuu Msaidizi ni Hilary Kimbugwe - Uganda
5. Mweka Hazina - Lawrence Kavuma toka Makerere - Uganda
6. Mweka Hazina Msaidizi ni Yusuph Singo wa Chuo Kikuu cha Ardhi
Wakati huu wajumbe saba walichaguliwa kuungana na watajwa hapo juu kuunda kamati ya Utendaji
1. Valeria Onyago - Kenya
2. Rev. Twehei - Uganda
3. Dr. H. Ndee - Tanzania
4. Edward Muema - Kenya
5. Patrick Ogwel - Uganda
6. Charles Tumwisige - Uganda
7. Florence Nakanya - Uganda
Pia kutokana na Katiba Rais aliyemaliza muda wake naye atajiunga na kamati hii ambaye ni Professor Jacob Nteere.
Habari hii imetumwa toka Kampala Mkutano ulikofanyika tarehe 27-01-2012 na Katibu Mkuu wa Shirikisho la michezo la vyuo Vikuu Tanzania Mr. Noel Kiunsi
TANZANIA UNIVERSITIES SPORTS ASSOCIATION (TUSA) P.O Box 35091 – Dar es Salaam – Tanzania Tel.No +255-22-2410500/9 Ext: 2004/2018 TelegramUNIVERSITY DAR ES SALAAM Direct Line: 2410256 TeleFax +225-22-2410078 E-mail: tusasports@yahoo.com Website address: www.udsm.ac.tz
HUJAMBO
"KARIBU UJIUNGE NASI KUPATA TAARIFA MBALIMBALI ZA MICHEZO YA VYUO VIKUU KILA SIKU KUTOKA HAPA NCHINI TANZANIA HIZI NI HABARI ZA MICHEZO AMBAZO ZIMEVIHUSU VYUO VYA HAPA NCHINI IKIWA NI PAMOJA NA USHIRIKI WA VYUO KATIKA MATAMASHA MBALIMBALI KITAIFA NA KIMATAIFA MABONANZA NA MASHINDANO MAKUBWA YA KIMATAIFA YANAYO HUSU VYUO VIKUU, KUMBUKA MICHEZO HUANZIA MASHULENI NA KATIKA VYUO MUENDELEZO NDIKO UNAKOPATIKANA KARIBU SANA"
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment