HUJAMBO

"KARIBU UJIUNGE NASI KUPATA TAARIFA MBALIMBALI ZA MICHEZO YA VYUO VIKUU KILA SIKU KUTOKA HAPA NCHINI TANZANIA HIZI NI HABARI ZA MICHEZO AMBAZO ZIMEVIHUSU VYUO VYA HAPA NCHINI IKIWA NI PAMOJA NA USHIRIKI WA VYUO KATIKA MATAMASHA MBALIMBALI KITAIFA NA KIMATAIFA MABONANZA NA MASHINDANO MAKUBWA YA KIMATAIFA YANAYO HUSU VYUO VIKUU, KUMBUKA MICHEZO HUANZIA MASHULENI NA KATIKA VYUO MUENDELEZO NDIKO UNAKOPATIKANA KARIBU SANA"

Tuesday, March 20, 2012

MABADILIKO YA TAREHE YA MAZISHI YA MAREHEMU ANDREA HANGE.

Mwili Utafika Uwanja wa Ndege Dar es Salaam Saa 4. usiku siku ya jumatamo tarehe 21/03/12 na Ratiba ya Mazishi ni kama inavyoonyeshwa hapo Chini.


RATIBA YA MAZISHI YA MAREHEMU ANDREA LESSO HANGE
 IJUMAA TAREHE 23/3/2012
N
a
TUKIO
MAHALI
MUDA
MHUSIKA/ WAHUSIKA
1
KUANDAA MWILI
LUGALO HOSPITALI

2:00-5:00

WALIOANDALIWA
2
CHAKULA
NYUMBANI
5:00-6:00
WOTE

3

MWILI KUWASILI NYUMBANI


NYUMBANI

6:00

WOTE
4
SALA FUPI

NYUMBANI
6:00-6:15
WOTE

5

IBADA

KANISANI CHUO KIKUU

6.30-7:30

MCHUNGAJI/WOTE

6

KUAGA MWILI

KANISANI CHUO KIKUU

7:30- 8:30

WOTE

7
SAFARI YA KUELEKEA MAKABURINI


GOBA

8:30-9:30

WOTE
8
SALAYA MAZISHI NA MAZISHI
GOBA MAKABURINI
9.30-10:30
WOTE
9
KUWEKA MASHADA
GOBA MAKABURINI
10:30-10:45
WAHUSIKA


10
WASIFU WA MAREHEMU

GOBA MAKABURINI
10:45-10:50

ALIYEANDALIWA
11
SALAMU ZA RAMBIRAMBI

GOBA MAKABURINI
10:50-11:00
1.        CHUO KIKUU.
2.        SHULE KUU YA ELIMU.
3.        WAFANYAKAZI WALIOKUA MASOMONI NA MAREHEMU.
4.        VIKUNDI MBALIMBALI.
12
NENO LA SHUKRANI
GOBA MAKABURINI
11:00-11:05
FAMILIA
13
MWISHO


WOTE

No comments:

Post a Comment