HUJAMBO

"KARIBU UJIUNGE NASI KUPATA TAARIFA MBALIMBALI ZA MICHEZO YA VYUO VIKUU KILA SIKU KUTOKA HAPA NCHINI TANZANIA HIZI NI HABARI ZA MICHEZO AMBAZO ZIMEVIHUSU VYUO VYA HAPA NCHINI IKIWA NI PAMOJA NA USHIRIKI WA VYUO KATIKA MATAMASHA MBALIMBALI KITAIFA NA KIMATAIFA MABONANZA NA MASHINDANO MAKUBWA YA KIMATAIFA YANAYO HUSU VYUO VIKUU, KUMBUKA MICHEZO HUANZIA MASHULENI NA KATIKA VYUO MUENDELEZO NDIKO UNAKOPATIKANA KARIBU SANA"

Saturday, March 17, 2012

RATIBA YA AWALI YA MAZIKO


RATIBA YA AWALI YA MAZISHI YA MAREHEMU ANDREA LESSO HANGE
TAREHE 21/3/2012

TUKIO
MAHALI
MUDA
MHUSIKA/ WAHUSIKA
1
KUANDAA MWILI MOTUARY
LUGALO HOSPITALI

2:00-5:00

WALIOANDALIWA
2
CHAKULA
NYUMBANI
5:00-7:00
WOTE
3
MWILI KUWASILI
NYUMBANI

7:00
WOTE
4
SALA/ IBADA
NYUMBANI
7:15-8:30
MCHUNGAJI/WOTE
5
KUAGA MWILI
NYUMBANI
8:30- 9:00
WOTE
6
SAFARI YA KWENDA MAKABURINI
GOBA

9:00-10:00

WOTE
7
IBADA YA MAZISHI NA MAZISHI

GOBA

10.00-11:00

WOTE
8
KUWEKA MASHADA
GOBA
11.00-11:10
WANAFAMILIA NA NDUGU
9
WASIFU WA MAREHAEMU
GOBA
11:10-11.15

ALIYEANDALIWA
10
SALAMU ZA RAMBIRAMBI
GOBA
11:15-11:25
VIKUNDI MBALIMBALI
11
NENO LA SHUKRANI
GOBA
11:25-11:30

FAMILIA
12
MWISHO


WOTE

No comments:

Post a Comment