HUJAMBO

"KARIBU UJIUNGE NASI KUPATA TAARIFA MBALIMBALI ZA MICHEZO YA VYUO VIKUU KILA SIKU KUTOKA HAPA NCHINI TANZANIA HIZI NI HABARI ZA MICHEZO AMBAZO ZIMEVIHUSU VYUO VYA HAPA NCHINI IKIWA NI PAMOJA NA USHIRIKI WA VYUO KATIKA MATAMASHA MBALIMBALI KITAIFA NA KIMATAIFA MABONANZA NA MASHINDANO MAKUBWA YA KIMATAIFA YANAYO HUSU VYUO VIKUU, KUMBUKA MICHEZO HUANZIA MASHULENI NA KATIKA VYUO MUENDELEZO NDIKO UNAKOPATIKANA KARIBU SANA"

Friday, March 9, 2012

MWILI WA MAREHEMU HANGE KUWASILI TAREHE 20/03/2011

Ndugu Wapendwa.

Taarifa tulizozipokea leo ni kuwa mwili wa Marehemu Andrea Hange Utawasili Dar es Salaam tarehe 20/03/2012. Kama unavyoona siku ni nyingi tunaomba wanachama, ndugu, Jamaa na Marafiki kujitoa kwa dhati katika kusaidia familia iliyopo nyumbani kwani gharama ni kubwa mno na msiba ni wetu sote, Tunaomba tushirikiane.

Asanteni. Mungu awabariki

No comments:

Post a Comment