HUJAMBO

"KARIBU UJIUNGE NASI KUPATA TAARIFA MBALIMBALI ZA MICHEZO YA VYUO VIKUU KILA SIKU KUTOKA HAPA NCHINI TANZANIA HIZI NI HABARI ZA MICHEZO AMBAZO ZIMEVIHUSU VYUO VYA HAPA NCHINI IKIWA NI PAMOJA NA USHIRIKI WA VYUO KATIKA MATAMASHA MBALIMBALI KITAIFA NA KIMATAIFA MABONANZA NA MASHINDANO MAKUBWA YA KIMATAIFA YANAYO HUSU VYUO VIKUU, KUMBUKA MICHEZO HUANZIA MASHULENI NA KATIKA VYUO MUENDELEZO NDIKO UNAKOPATIKANA KARIBU SANA"

Thursday, March 8, 2012

TANZIA - BADO TUNGALI TUKISUBIRI TAARIFA

Ndg Wapendwa.

BADO TAARIFA ZA UCHUNGUZI ZINAENDELEA KWA HIYO HATA TAREHE ZA KUREJESHWA MWILI BADO HAZIJATOLEWA. JAPO TUNAENDELEA KUSISITIZA JAMAA NA MARAFIKI KUFIKA NYUMBANI KWA MAREHEMU NA KUTOA RAMBI RAMBI ZETU KWANI MSIBA NI MREFU NA GHARAMA NI KUBWA HASA KWA WAGENI TOKA NJE YA DAR ES SALAAM

ASENTENI KWA USHIRIKIANO

No comments:

Post a Comment